Tangaza nasi hapa

Tangaza nasi hapa

Mambo ya kuzingatia unapotaka kununua computer



Ni muhimu kuangalia vigezo vya computer kabla ya kuinunua na hii itakusaidia kutambua unanunua computer ya aina gani na inauwezo gani?

1:kuangalia aina ya computer(model yake)kama ni mpya au ya zamani

2:kuangalia vigezo vyake kama vinaranfana na vinakidhi mahitaji yako kwa namna moja ama nyingne tunatofautiana katika matumizi ya computer wengi wetu tunatumia kwa matumizi ya ofisini na shuleni lakini computer inaangaliwa pia jinsi na sehemu inayotumika
3:kuangalia Uwezó wa computer kama ram,hard disk,processor. N.k

Jinsi ya kkuangalia Uwezó wa computer yako?
Nenda kwenye kitufe cha (start button)
Andika run
Itatokea sehemu ya kuandikia kisha andika tena dxdiag halafu bonyeza enter
Hapo utakuwa umejua Uwezó wa computer yako!
"COMMENT NA SHARE"

     

No comments:

Powered by Blogger.