Tangaza nasi hapa

Tangaza nasi hapa

Jinsi ya kuongeza uwezo wa RAM (random access memory)


Kama Computer Yako ina Ram ndogo fata hizi step ili uifanye computr iwe fasta, unaweza ukafanya Local Disk (C) au flash iwe kama RAM!.

1. ingia kwenye my computer au bonyeza WINDOWS BUTTON na E (WINDOWS+E)

2. Right Click chini kabisa sehem ambayo empty alafu utabonyeza PROPERTIES bonyeza tena ADVANCED SYSTEM SETTINGS

3. baada ya hapo utaona setting tatu, chagua ya juu kabisa alafu bonyeza ADVANCED bonyeza tena CHANGE

4. utaona tiki hapo juu kushoto toa hiyo tiki, chini utaona disk zako C,D,E bonyeza disk C

5. chini kuna CUSTOME SIZE bonyeza hapo, sehm ya INITIAL SIZE utajaza ukubwa wa RAM unayotaka lakini utazidisha kwa 1024 yani mfano unataka iwe na RAM 3 utabonyeza 3x1024 jibu utakalo pata utajaza kwenye INITIAL SIZE!.. baada ya hapo sehemu ya MAXIMUM SIZE jibu ulilopata kwenye initial utazidisha mara 4 alafu utajaza kwenye MAXIMUM SIZE

6. Baada ya hapo utabonyeza SET alafu OK alafu APPLY, Computer Itizimika alafu itawaka au utazima mwenyewe alafu utawasha na Computer yako itakua fasta zaid

Ahsanteni !!!

No comments:

Powered by Blogger.