Tangaza nasi hapa

Tangaza nasi hapa

jinsi ya kuscreen shot computer



nenda kwenye window  search  button alafu andika #snipping tool itatokea utaibonyeza kisha utashika mouse yako kama unataka kuhighlight utavuta adi sehemu unayotaka iwe screen shot alafu utaiachia utaenda kwenye save 
utachagua sehemu ya kusave alafu utasave
au angalia video ili uweze kujua zaidi!!

No comments:

Powered by Blogger.