JINSI YA KUFUTA WINDOW ZIKIWA ZIKO MBILI KWENYE KOMPUTER YAKO
- HATUA
- NENDA KWENYE WINDOW BUTTON BONYEZA
- BONYEZA START BUTTON ALAFU ANDIKA "RUN " ANDIKA KWENYE HIO SEHEMU YA RUN "CMD" ALAFU BONYEZA ENTER AU OK
- CMD INAONEKANA IVO SASA ANDIKA msconfig hapo kwenye iyo box la cmd
- BONYEZA ENTER H APO UTAENDA KWENYE DIALOGY YA SYSTEM CONFIGURATION
- NENDA KWENYE BOOT BONYEZA
APO UTAKUWA UMEFUTA WINDOW KIURAHISI BILA YA KUHITAJI MSAADA KWA MTU.
COMMENT NA SHARE
AHSANTE
No comments: