Asilimia kubwa huwa tunatumia operating system ya windows. Kwenye keyboard yako kuna batani (f1 hadi f12) mara nyingi huwa hatuzitumiagi labda kwa kutojua matumizi yake. Haya yafuatayo ni matumizi ya F1 mpka F12 kwenye operating system ya windows.
F1 mpaka F12 inaweza ikatumia kwa kushirikiana na CTRL na ALT batani
Matumizi ya F1
Hii hutumika kwa msaada (yaani help) kama ukiitajimsaada kwenye windows au hata OS bonyeza F1 ili kupata msaada. Pia wakati mwingine bofya F1 kama kompyuta inataka ku-boot.
Matumizi ya F2
1. F2 hutumika kufungua document katika windows mfano kufungua Microsoft Word kwa kubonyeza ALT+CTRL na F2
Matumizi ya F3
Ukibonyeza Shift+F3 unabadilisha unachoandika kwenye Microsoft Word kutoka herufi kubwa kwenda herufi ndogo au herufi kubwa kila mwanzo wa sentensi.
Matumizi ya F4
ALT+F4 unafunga unachokifanya kwenye window. Pia CTR+F4 hufunga unchokifanya sasa ivi na huacha kilichofungulia. Mf. kwenye browser umefungua google.com na facebook.com kama ulikua unatumia facebook basi hufugwa na kuacha google
Matumizi ya F5
Hapa kama unataka ku-refresh page yako
Matumizi ya F6
CTRL+ALT+F6 kufungua document kwenye microsoft word.
Matumizi ya F7
kama kuna maanishi(spelling) ambazo unaisi umekosea hii hutambua mara nyingi ni kwenye program za kuandikia mf. kwenye Microsoft Word
Matumizi ya F8
Kama PC yako inataka ku-book basi hii iitapelekea kujiboot kwenye safe mode
Matumizi ya F9
Hii haina kazi yoyote kwenye windows. Lakini huweza kutumika kwenye baadhi ya programs chache.
Matumizi ya F10
SHIFT+F10 ni kama mouse ya mkono wa kulia (right mouse click.)
Matumizi ya F11
Hii huleta full screen ya kile unachokifanya
Matumizi ya F12
1. Hufungua 'save as' kwenye microsoft word.
2. Shift+F12 huifadhi(saves) document yako kwenye Microsoft Word.
3. CTRL+SHIFT+F12 Huleta option ya kuprint kwenye Microsoft Word.
4. F12 hufungua inspect element kwenye browser.
Ahsanten!!

No comments: