Tangaza nasi hapa

Tangaza nasi hapa





  "FAIDA ZA  KOMPUTER NA UMUHIMU WAKE"


1:KOMPUTER HURAISISHA KAZI :Kwa kipindi kirefu sana watu tumekuwa na utaratibu wa kufanya kazi zetu kwa kuandika ,hivyo tunapoteza muda sana kwakufanya jambo moja ikiwa tunaweza kufanya mambo tofauti tofauti kwa muda mfupi.
2: HUTUSAIDIA KUTUNZA MUDA
komputer inarahisisha kazi ,inatusaidia kufanya kazi kwa muda mchache sana
3.NI CHANZO CHA MAWASILIANO,inatusaidia kuwasiliana pande mbalimbali za dunia.




              "COMMENT NA SHARE"


FOLLOW ME @giftyomary


No comments:

Powered by Blogger.