kabla ya kuanza tufkilie tu kiumakini kuhusu umuhimu wa taarifa zako(data)
je data zina umuhimu gani?
baada ya apo tunaweza kuona taarifa zako zina umuhimu mkubwa sasa upaswi kuzipoteza!
hatua bonyeza Start button, chagua Control Panel,alafu "Back up your computer" under "System and Security."
kama haujawah kufanya backup kabisa katika komuter yako, unatakiwa ku click
"Set up backup" and na kufata maelekezo. na kama wewe sio mwenye komputer inabidi upate ruhusa ya mmliki wa komputer hio
ni vema kusave backup katika external hard disk , au a DVD na kama hutojali ziweke taarifa zako sehemu utakayokumbuka kirahisi. (kama version ya window yako iko vizuri unaweza ukabackup kwenye network hard drive.)
watumiaji wengi uwa wanaiacha window ichague sehemu ya kubackup lakini unaweza ukachagua wew pia kwa kuchagua "let me choose " .kama ionekanavyo kwenye picha apo chini alafu utabonyeza next
window itaanza kubackup
jinsi ya kufanya backup ya taarifa zako kwenye komputer yako
Reviewed by Unknown
on
1:12 PM
Rating: 5
No comments: