Tangaza nasi hapa

Tangaza nasi hapa




Jinsi ya kulock Simu   ya android na jinsi ya kutoa *PRIVACY PROTECTION PASSWORD*
Hii ni features ambayo Simu zote zenye android system kuanzia 4.3 inayo ambayo inasaidia kulock Simu yako ya android na MTU akibidilisha laini au aki hard reset na pia akiflash normal haitok inabak na os  inafanana kidogo na gmail lock lkn utokaji wa hii ni mgumu kuliko gmail lock ambayo ni rahis
*jinsi ya kuiweka*
Nenda
Settings
Security
Ant theft au kwa baadhi ya Simu huandikwa privacy protection

Hapo ukienable itakupa note utabonyeza tick then utaset password
 Ukisha enable itakua tayari

*faida*
Ni strong kuliko hata gmail lock

Simu ikibadilishwa lain au uki hard reset kwa njia ya mkono haitok

Pia hata ukiflash normal haitok

Kidogo inafaa kwa Simu za 4.3 jellbean na kitikat 4.4 had 5.0 lollipop ambazo hazina gmail lock ila hii feature IPO na ni nzuri

Njia ya kutoa hiyo pia ipo (ntazionesha chini kwenye jinsi ya kutoa)

*hasara*
Ukichange lain itakuja itakuhitaji uweke password yako

Uki reset au restore Simu lazima uweke

Haitok kwa njia ya kuflash kwa mkono (custom ROM)

Pia hata kwa miracle box normal flash haitoi

*jinsi ya kutoa hiyo lock*
Mahitaj
Miracle box /cracks
Stock ROM
Phone drivers
Computer

Steps
Extract stock ROM file
Install miracle box cracks au connect miracle box
Then nenda
Mtk
Write
Select scatter file
Weka tick katika
Format all android
Bonyeza start
Chukua Simu chomoa betri
Liweke then chomeka USB
Itaload
Ikifika second boot
Itatoa options ya files za Ku replace
Utabonyeza tick then
Relax mpk imalize itasema done ikifika
Mwisho hapo lock
Itakua imetoka
Lkn njia hii hufuta imei ya Simu
Hyvo ukiwasha itasema invalid(usipanic)
Hvyo itabd ufate steps Uzi rudishie imei zake
 Hapo utakua umemaliza

*Comment na share*

No comments:

Powered by Blogger.