Tangaza nasi hapa

Tangaza nasi hapa

Faida za mitandao ya kijamii na hasara zake




"Je mitandao ya kijamii inafaida gani na ni zipi hasara zake"

Tathmini inaonyesha kwamba mitandao ya kijamii inafaida kubwa sana ,faida izo zikuwemo
1:biashara mtandao ,hii ni moja ya faida kubwa na kuu ya kutumia mitandao ya kijamii ,kufanya biashara mtandao zinasaidia kutambulika na kupata wateja wengi kwa rahisi haraka pia kwa unafuu zaidi
2:burudani:mitandao inatusaidia kupata burudani tofauti tofauti ,kwa sababu mitandao ya kijamii inatufanya tuwe na taarifa muhimu kuhusu wa sanaa na mambo yanayoendelea duniani!
3:kuwa karibu na taarifa tofauti tofaut
4:mawasiliano
5:upatikanaji wa habari kirahisi kabisa haraka na kwa unafuu.



Hasara za kuktumia mitandao ya kijamii
1:kuwa busy na kuangalia yanayoendelea kijamii na kimataifa
2:kutumia wakati mwingi ukiwa na simu



Comment na share

No comments:

Powered by Blogger.