JE WAJUA?
KUZIMA COMPUTER YAKO MOJA KWA MOJA KWA KUIFOSI KUNAWEZA KUKALETA MADHARA NA KUSABABISHA COMPUTER YAKO ISIWAKE TENA......!
KUNA NJIA RAHISI ZA KUZIMA COMPUTER BILA YA KUSABABISHA MADHARA!
NJIA ZA KUZIMA COMPUTER
NENDA KWENYE KITUFE CHA WINDOW YAKO...!
.
KISHA BONYEZA IYO START...............!
KISHA BONYEZA" TURN OFF COMPUTER/ SHUT DOWN " HAPO UTAKUWA UMEZIMA COMPUTER YAKO NA HATA UKIIWASHA HAKUTAKUWA NA SHIDA YOYOTE ILE....!
"NA HAPO UTAKUWA UMEZIMA COMPUTER YAKO KIRAHISI"
"USISITE KUUNGANA NAMIMI KWA KUCOMMENT NA KUSHARE MAWAZO"
HAPO CHINI
No comments: