Tangaza nasi hapa

Tangaza nasi hapa

jinsi ya kuweka password kwenye komputer yako



          JINSI YA KUWEKA PASSWORD KWENYE KOMPUTER YAKO

Usiri katika nyalaka tofauti tofauti ni jambo zuri sana ,wakati mwengine ni
ngumu sana kuzuia baadhi ya watu wasishike komputer yako hivyo kwa kuona
umuhimu huo tunakuletea jinsi ya kuweka password kwenye komputer yako
bila ya kuhitaji mtaalamu wa kukufanyia ivo.

Ungana nasi ili kufahamu zaidi kuhusu jambo hilo.


No comments:

Powered by Blogger.